Kama kupenda maradhi, niko hoi taabani Na kama kutangaza nakupenda kosa, nifungwe Kama kupenda upofu, mi sioni na sisikii Ndo maana natangaza nakupenda, moyo wangu usiangamie
Sichepuki makona kona, na upona niugue Ukifika mi napona pona Na rangi yako ya black me nakuona white We kifupi nyundo, nakuonaga mnara Anapo ona dawa, mwepesi
Mmh aaah japo chii chii, chibonge Aah chi chi chi chibonge chi chi chibonge Aah chi chi chi chibonge
Akipita minyama Anatingisha minyama tu, Vile akipita minyama, minyama
Shepu ya mabonde mabonde, nimeridhia Nitakumiliki usikonde, ata nikifulia Oooh beiby unashoza ngÂŽombe, mbuzi wanakimbia Na uwasha mhogo wa jangÂŽombe leta sufuria
Beiby usijipe stress, wewe kibonge mwepesi Waruka mpaka sarakasi, samba kareti unajua eeh, Hips kiuno shangao za machaini chaini (beiby you like the ...) nyembamba kiuno chako feni (gyal gyal )
Mmh aaah japo chii chii, chibonge
Aah chi chi chi chibonge chi chi chibonge Aah chi chi chi chibonge