Accueil  đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Abdukiba
Titre : Kajiinamia
Nilimkuta kajiinamia
Kajiinamia aaah
Wowowo wowowo wowooo

Nilimkuta kajiinamia

Nikamuuliza nini tatizo?
Yeye kanijibu
"Moyo, moyo"

Matatizo kadhaa wa kadhaa
Yanamtesa yeye
Ingawa bado yeye kijana
Anaumia yeye

Alipenda, katengwa kaumizwa
Hali iliyofichwa na mapenzi
Aliyempenda kamtenda kamdanganya

Akirudi kalewa lewa lewa
Suffer nake toti killer
Ndoto zake binti zimeharibikiwa
Anajuta juta, alimuumiza roho

Alimuumiza sana sana sana
Niliumizwaa sana
Nilimkuta kajiinamia sana

Nilimkuta kajiinamia, kajiinamia
Ile michezo ya kuserebuka
Kuchangamka
Kupata kwa waganga

Tena jitume
Mtoto wa kike zoa zoa
Asizoe litana

Sisi kwa leo
Twajijua sisi
Twajijua wenyewe

Twapenda mtelezo

Soap soap soap
Umali oooh

Twapenda mtelezo
Soap soap soap
Umali oooh

Yangu ni hayo
Kwako
Usiseme ukaniona
Nasema sana

Kwanza stop niheshimu mi
And bby stop kama brother
And stop kuna HIV
Single for real eeh

Kama upendavyo jiheshimu

Iheshimu mali ya ardhi
Kwani wengi
Wanapenda kuniona wakiniongea

Kwani wengi
Hawapendi wewe unaponiongea
Kwa maana, kwa maana

Bby
Umeniumiza sana sana...
Bby
Umeniumiza sana sana...

Nilimkuta kajiimnamia sana

Nilimkuta kajiimnamia, kajiinamia
Akadekewa vuma, vum vum vum vum
Watafuta kupenda

Chunga sana mapenzi
Yasikutoe kidonda
Tena chunga sana wapenzi
Usipende usipopendwa
Always, nije nipate furaha

Sisi kwa leo
Twajijua sisi
Twajijua wenyewe

Twapenda mtelezo
Soap soap soap
Umali oooh

Twapenda mtelezo
Soap soap soap
Umali oooh

Sisi twapenda, umali ooh
Twapenda umali oooh