Oooh ....oooh Hisia kama mikuki zanichoma Ndo maana kila time nakuwaza wewe Kwa mahaba nayopata Nahisi mpaka homa
Sichoki me kukesha nawe
Love more...Love more... Love more...(iyeee)
Wapambe waache waongee usiku watalala Na waambie wenye wivu maneno yasizidi mpaka
Mmmh mapenzi mubashara, mapenzi mubashara Zidisha leo zaidi ya jana(zidisha leo zaidi ya jana) Mapenzi mubashara, mapenzi mubashara Nikomeshe leo nisipate la kusema(la kusema aaah...)
Niroge kwa limbwata mpaka nipagawe Ila tu nisiokote makopo Zidisha kipimo unachokiona wewe
Kwako me ni kama mtoto
Mama, toa jiko nje nipikee Aaah nikimaliza vyombo nioshe Tena sogeza kichwa nywele nikusukee(beiby) Na tukimaliza twende bafu nikakuogeshee
Mmmh mapenzi mubashara, mapenzi mubashara Zidisha leo zaidi ya jana(zidisha leo zaidi ya jana) Mapenzi mubashara, mapenzi mubashara Nikomeshe leo nisipate la kusema (nikomeshe leo nisipate la kusemala kusema aaah...)
Aaah nipate la kusema...mimi iyeee Nipate la kusema...beiby Na mapenzi mubashara
Nipate la kusema... Mapenzi mubashara Nami nipate la kusema