Accueil  đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Abdukiba
Titre : Nalingi Ye
Kwanza rangi yake
Mfano wa tausi ndege wake
Huku kununa kwake
Akinuna aznidi kuwa mwake

Niogopee
Niogopee ukisita nuna
Niogopee
Ili mradi tuwe na furaha

Niogopee
Niogopee ukisita nuna
Niogopee
Ili mradi tuishi kwa furaha

Nami ninyuke pamba
Unipe lava lava
Nijione ndo mie

Nikiwa zangu viwanja
Nijione mnjanja
Niwe na shine mie

Eeh basi njoo
Nakupenda vibaya
Basi njoo
Nikikuona nagwaya

Basi njoo
Nakupenda vibaya
Basi njoo
Nikikuona nagwaya Ha!

Nifanye nini mie?
Nakupenda my sweet ooh, baby boo
Nifanye nini mie?
Nakuhitaji my girl, baby baby baby ooh

Nifanye nini mie?
Nakupenda my sweet ooh, baby boo
Nifanye nini mie?

Nakuhitaji my girl, baby baby baby ooh

Ah, tabasamu wazimu
Ukarimu nakuheshimu
Namuomba ya karima
Azidishie timamu

Usinighiribu,
Nikapata taabu
Udhaifu wangu
Isiwe sababu, ona nakupenda

Na penzi letu
Ni kama maji yaliyo twaa maa
Wasambaze tusiwape ya kusema
Chumbani tuuzie jina
Naomba unitunzie jina iyee
Sheri yoo motema

Nifanye nini mie?
Nakupenda my sweet ooh, baby boo
Nifanye nini mie?
Nakuhitaji my girl, baby baby baby ooh

Nifanye nini mie?
Nakupenda my sweet ooh, baby boo
Nifanye nini mie?
Nakuhitaji my girl, baby baby baby ooh

We ndo wangu wa uzima
Tutaungama daima
Jua likichomoza
Likizama, huniishi hamu

We ndo wangu wa uzima
Wa uzima yeah

Ukamilifu timamu

Hey...(Ahoo)
Hey...(Aheee)
Hey...(Yeah yeah)
Hey...(Oooh)

Mimi na wee(Hey)
Mpaka milele(Hey)
Mimi na wee(Hey)
Wowowo....