Accueil  đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Abdukiba
Titre : Nimuimbie Nani
Mengi kanifanyia
Ndio maana mpaka leo namtunza
Wengine ngumu kujua nilichozama aah

Ogopa zaidi ya akilia ayaya

Akiamini namtenga
Ndugu zake walishagombana
Kisa pendo kulinda

Navumilia shida
Ndo maana sometimes nalia mwenyewe
Wanajiuliza vipi
Tokea eti nitengane na yeye

Ni mvumilivu,
Sijawai ona kama yeye
Nampenda
Kumuacha siwezi

Ah nimuimbie nani?
Kama sio yeye, yeye
Nicheke na nani?
Kama sio naye

Nimuimbie nani?
Kama sio yeye, yeye
Nilie na nani?
Kama sio naye

Ndani ya moyo nina kitabu
Ninahifadhi mapenzi yote
Naamini utanipenda
Siku zote sitokufanya ujute

Siri zangu
Mwifadhi siri ni wewe
Hata hamu yangu
Wa kunistiri ni wewe

Wao kupe walimwengu
Wana maneno ya kara, unaweza ukalia

Wana maneno chungu ya kukatisha tamaa
Penzi likapotea

Kwanza mimi nakwamini
Tena unajua kiasi gani
Wewe umeridhika kuwa nami
Unaniamini

Geuza macho yako usiangalie chini
Muda wa kusema na mimi
Aiyoyoyoyo, yoyoyoyoyoyo

Ah nimuimbie nani?
Kama sio yeye, yeye
Nicheke na nani?
Kama sio naye

Nimuimbie nani?

Kama sio yeye, yeye
Nilie na nani?
Kama sio naye

Mmmh basi njoo
Nakupenda mwenzako
Basi njoo
Unipe raha zako

Basi njoo ooh oh
Nakupenda mwenzako
Basi njoo
Mmmh mmmh..

Ah nimuimbie nani?
Nicheke na nani?
Oooh nimuimbie nani?
Oooh nilie na nani?

Ayee..