I say simba mwenda pole ndio mla nyama Haya mama twende pole pole tule nyama Lamba vidole nikulambe mpaka kiama Nikikosa sorry ingia kwa dole ungemwona mama
Wapi vinywaji, kata maji mama ringa nami Chakula mpaka mtaji hasara kitu gani? Jina unaitwa nani? unatoka dunia gani? We ni kitu gani? Unang´aa mpaka gizani
Nishike bega na safari mbali sana nawe Unanitega mwili ili akili ipagawe Nataka nife nawe, nataka nizikwe nawe Bora nivikwe mawe na sitoki kwenye my way
Umefanana na malaika wa peponi Huna tofauti nao malaika wa ghettoni Nigandishe gundi, ongeza mavumbi Nipeleke Burundi nikifika sirudi