Usidanganywe na giza Ukaenda haja hadharani Hapa ni mombasa pwani 001 Hahahaha
Kwanza nakumbuka ya zamani yaliotokea Pili niliporwa kwa mapenzi aiya yayaya Nawakumbuka akina fulani eeh Waliokua wangu vipenzi eeh
Vilisuka vingi visirani Na ugomvi wazi wazi Kwa Upendo kuniita honey Kwenye dhiki na simanzi
Wale wenye nyingi longo longo Kuniweka kwenye milolongo Sikudhani kama mapenzi ni uongo Nawe usijekuwa kama wao Ukajazua migogoro nisikie naimba baba
My pretty mama, we ndo chaguo langu My baby mama, uwe baba wa wanangu
My pretty mama, eeh we ndo chaguo langu My sweety mama, Â eeh uwe baba wa wanangu
Unanitekenya unaniponitaja jina kwa kujidai Basi chunga upendo wetu mama usijekuwa kilaghai Nilivyopagawa na wewe mama nisijetoka uhai Utakaponichanganya na kina Danny alhajidai
Ooh my baby baby We zidisha upendo nami Haya sweetie cherie Usijenitosa sisilani
Achana nao masidi Tulia na mimi waridi Nataka vita karidi We nisimue niwe baridi
My pretty mama, we ndo chaguo langu My baby mama, uwe baba wa wanangu My pretty mama, eeh we ndo chaguo langu My sweety mama, Â eeh uwe baba wa wanangu
Tulia na mimi tena uwe na subira Nipende mimi mama kesho mambo yatajipa Tulia na mimi tena uwe na subira Nipende mimi baba kesho mambo yatajipa
Mbele, mbele ma Mbele, mbele ma Mbele, mbele ma Mbele, mbele ma
Hehehehe mbuzi kala mkeka Wambea mtalalia? Hapa ni county 001 kwa Joho
Joho is a slack rafiki wangu wa dhati I love you
Twende safari coutesy of Akothee Safaris Harun Deey, Producer Toti KG records, Amber call polis Mziki bila jasho..