Accueil
đđ€ Paroles de chanson Française et Internationnales
Recherche : GO
Afficher les Favoris
â Cacher les Favoris
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Ajouter aux Favoris Titre : Wema Wako
Shukrani Mola Baba Kwa maisha tunayopitia Tumepumua si haba Baraka zako tunajivunia Shukrano Mola Baba Kwa maisha tunayopitia Tumepumua si haba Baraka zako tunajivunia Kwa wazima na vilema aah Kwa utunzi na heshima aah Eh! Maskini wapokee, wapokee Tuko mbele zako bwana Shida utuondolee ondolee Ooh matatizo bwana Zile taabu balaa na njaa Mashambani mavuno hakuna Uhalifu umejaa kwa mitaa Siku hizi amani hakunaga Hakuna aaah eeeeh iyéé oooh Amani iih Baba nasema asante Kwa yale umayatenda Vile umenibless Wema wako hupotei Baba nasema asante Kwa yale umayatenda Vile umenibless Wema wako hupotei Wema wako wemaa Wema wako wemaa Wema wako wemaa Wema wako hupotei Wema wako wemaa Wema wako wemaa Wema wako wemaa Wema wako hupotei Kwa wazima na vilema aah Kwa utunzi na heshima aah Eh! Maskini wapokee, wapokee Tuko mbele zako bwana Shida utuondolee ondolee Ooh matatizo bwana Hakuna aaaah Eeeh iye ooooh Amani iih Baba nasema asante Kwa yale umayatenda Vile umenibless Wema wako hupotei Baba nasema asante Kwa yale umayatenda Vile umenibless Wema wako hupotei Wema wako wema Wema wako wemaa Wema wako wemaa Wema wako hupotei Wema wako wemaa Wema wako wemaa Wema wako wemaa Wema wako hupotei Baba nasema asante Kwa yale umayatenda Vile umenibless Wema wako hupotei Baba nasema asante Kwa yale umayatenda Vile umenibless Wema wako hupotei Wema wako wemaa Wema wako wemaa Wema wako wemaa Wema wako hupotei Wema wako wemaa Wema wako wemaa Wema wako wemaa Wema wako hupotei