Jinsi nilivyo Bwana Jinsi nilivyo Jinsi nilivyo Bwana Naja Kwako Jinsi nilivyo nipokee
Baba nikikumbuka ulikonitoa Ulinitoa mbali Baba eh Nikulinganishe na nani Baba haulinganishwi Siwezi siwezi bila wewe Ndiposa nasema jinsi nilivyo naja kwako Wewe ni mchungaji wangu Wewe ni njia yangu ya uzima Jinsi nilivyo Bwana nipokee Bila wewe nitakuongee na nani Bila wewe siyawezi eeh Jinsi nilivyo Bwana nipokee
Jinsi nilivyo Bwana Jinsi nilivyo Jinsi nilivyo Bwana Naja Kwako Jinsi nilivyo
Jinsi nilivyo nipokee
Kila mwenye pumzi akuhitaji wewe Kila ana uhai Mungu ana haja nawe Kila mwenye pumzi akuhitaji wewe Kila ana uhai Mungu ana haja nawe Nami nina haja nawe Yesu Jinsi nilivyo nakuhitaji tu Nina haja nawee jinsi niliyo
Jinsi nilivyo Bwana Jinsi nilivyo Jinsi nilivyo Bwana Jinsi nilivyo Jinsi nilivyo nipokee
Tunaungana na maserafi na makerubi Jinsi nilivyo naja kwako
Nimejaribu Bwana wanadamu Baba Wanadamu eeh wana mambo yao Wananihukumu na kusema Baba Mimi si wa haki eeh
Toka nikujue Mungu wangu Umebadilisha maisha yangu Tangu nikujue mwokozi wangu Sijawai jutia
Nilipokupokea mwokozi Yesu Sijawai juta hata siku moja Kumbe kwako kuna faida Kukujua ni muhimu sana Naja mbele zako Baba