Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Pasipo na njia unaitengeneza Njia
Pasipo na njia unaitengeneza Njia Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Pasipo na njia unaitengeneza Njia Pasipo na njia unaitengeneza Njia
Yanaonekana magumu Dunia imeshindwa Madakitari wamejaribu pia wao wameshindwa Lakini Bwana anasema mimi ndimi mti wa uzima Njooni kwangu mpate Amani Oooh Bwana wangu
Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye
Pasipo na njia unaitengeneza Njia Pasipo na njia unaitengeneza Njia Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Pasipo na njia unaitengeneza Njia Pasipo na njia unaitengeneza Njia
Baba unasema watu wangu walioitwa kwa jina langu Watajinyenyekeza na kuomba Na kutafuta Uso Wangu Na kuacha Njia zao mbaya Nitasikia kutoka mbinguni Na kuwasamehe dhambi zao Bwana tusamehe dhambi za Dunia Bwana Uiponye inchi yangu tunaomba Bwana
Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Pasipo na njia unaitengeneza Njia Pasipo na njia unaitengeneza Njia Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Pasipo na njia unaitengeneza Njia Pasipo na njia unaitengeneza Njia
Haya magonjwa tunayo ona Mungu Wangu ooh Ni kama Vumbi mbele zako Yatapita Ni kama Vumbi mbele zako Yatapita yataangamia Tunaimani na wewe tunaimani Bwana Tunaimani na wewe utatenda Mungu Wangu
Nina imani na wewe Nina imani Bwana Nina imani na wewe Utaniponya na kunikomboa
Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Pasipo na njia unaitengeneza Njia Pasipo na njia unaitengeneza Njia Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye Pasipo na njia unaitengeneza Njia Pasipo na njia unaitengeneza Njia Pasipo na njia unaitengeneza Njia
Pasipo na njia unaitengeneza Njia Pasipo na njia unaitengeneza Njia Pasipo na njia unaitengeneza Njia