Ni ni ni Tuna kuabudu mungu mwenye enzi (Tuna kuabudu mungu mwenye enzi) Tunainama mbele zako tukisema E wewe mungu wastahili
Wewe ndiwe kiongozi mwema Mfariji mwema twakwabudu Nikisema mimi ni msafi Nitakua mimi na jidanganya Wewe ndiwe kiongozi mwema Mfariji mwema twakwabudu (Tuna kuabudu mungu mwenye enzi Tuna kuabudu mungu mwenye enzi)
Wewe ndiwe kiongozi wangu Tena mchungaji wangu wa karibu Wewe ndiwe kiongozi wangu Tena mchungaji wangu wa karibu
Mimi ni nani na bwana wangu nisikusifu Mimi ni nani na bwana wangu nikuabudu Uliniumba mungu wangu kwa mfano wako Tunasema bwana wangu uinuliwe
(Tuna kuabudu mungu mwenye enzi Tuna kuabudu mungu mwenye enzi)
Halleluyah Nani kama wewe Yesu Nani kama mwenye upendo kama wako Nani aliyeumba mwanadamu Kwa mfano wake Yesu Nani mwenye neema kama zako hee Popote ulipoenda Yesu ulitenda mema Tenda mema siku ??? mfalme wa amani Nani kama wewe unastahili kuabudiwa Unastahili kuabudiwa unastahili