Ni salama, ni salama, ni salama Moyoni mwangu Ni salama, ni salama, ni salama Moyoni mwangu Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
Nionapo amani kama shwari au nionapo shida Kwa hali zote bwana amenijulisha Ni salama moyoni mwangu Nionapo amani kama shwari au nionapo shida Kwa hali zote bwana amenijulisha Ni salama moyoni mwangu
Ni salama, ni salama, ni salama Moyoni mwangu Ni salama, ni salama, ni salama Moyoni mwangu
Ingawa shetani atanitesa nitajipa moyo kwani mimi Kristo ameona, ameona unyonge wangu Amekufa kwa roho yangu
Ingawa shetani atanitesa nitajipa moyo kwani mimi Kristo ameona, ameona unyonge wangu Amekufa kwa roho yangu
Ni salama, ni salama, ni salama Moyoni mwangu Ni salama, ni salama, ni salama Moyoni mwangu
Dhambi zangu zote wala si nusu Zimewekwa msalabani Wala sichuhui dhana yake Ni salama Moyoni mwangu Dhambi zangu zote wala si nusu Zimewekwa msalabani Wala sichuhui dhana yake Ni salama Moyoni mwangu
Ni salama, ni salama, ni salama Moyoni mwangu Ni salama, ni salama, ni salama Moyoni mwangu
Eeh bwana himiza siku yako ya kuja Parapanda itakapo ooh, ooh lia Utakapo shuka mimi sitaogopa Ni salama Moyoni mwangu Eeh bwana himiza siku yako ya kuja Parapanda itakapo ooh, ooh lia Utakapo shuka mimi sitaogopa Ni salama Moyoni mwangu
Ni salama, ni salama, ni salama Moyoni mwangu Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu Ni salama, ni salama, ni salama Moyoni mwangu Ni salama, ni salama, ni salama Moyoni mwangu