Bwana naomba Bwana unitakase Mungu mwenye nguvu Bwana naomba Bwana Nitawaliwe nawe

Hii safari ni ndefu Bwana Nahitaji neema yako Bwana naomba ooh Nitawaliwe nawe
Siwezi bila wewe eeh Siwezi bila wewe uniongoze Nakuhitaji mwokozi wangu Nitawaliwe na wewe
Bwana naomba Bwana unitakase Mungu mwenye nguvu Bwana naomba Bwana
Nitawaliwe nawe
Bwana naomba Bwana unitakase Mungu mwenye nguvu Bwana naomba Bwana Nitawaliwe nawe
Naomba roho wako mtakatifu Aniongoze safarini Naomba Bwana nitawaliwe nawe Haya mambo ya duniani Yamekuwa mengi kuliko akili yangu Baba Naomba Yesu uuh nitawaliwe nawe Siwezi bila wewe
Bwana naomba Bwana unitakase Mungu mwenye nguvu Bwana naomba Bwana
Nitawaliwe nawe
Bwana naomba Bwana unitakase Mungu mwenye nguvu Bwana naomba Bwana Nitawaliwe nawe
Ombi la moyo wangu Moyo wangu wakulilia ewe Yesu Naomba kila siku nitawaliwe nawe Siwezi bila wewe, nitazama bila wewe Nakuhitaji Bwana wangu nitawaliwe nawe Unitakase Bwana