Mwenye Enzi Ni weeh ni Wewe Mwenye Enzi Ni weeh ni Wewe Unaetawala Duniani ni weeh ni Wewe Muumba Mbingu na inchi Ni weeh ni Wewe
Unastahili Bwana Eeeh Unastahili Yesu Unastahili kuabudiwa Unastahili Unastahili Bwana Eeeh Unastahili Yesu Unastahili kuabudiwa Unastahili
Kwa mapigo yako Yesu nimeona Mwanga kwa mateso yako Yesu Mimi nimepona ulifanyika maskini ili niwe tajiri Ulidhihakiwa mbele ya watu ili nione Mbingu mikuki Bwana ukachomwa ili nikombolewee Mwishoe Baba haukuhukumu yeyote uliwasamehe wote Unastahili Bwana eeeh
Unastahili Bwana eeeh Unastahili Yesu Unastahili kuabudiwa Unastahili
Unastahili Bwana eeeh Unastahili Yesu Unastahili kuabudiwa Unastahili
Nikitazama Duniani wengi wamekufa nami niko hai Hilo nidhitisho tosha wanipenda matendo yako Bwana yapita ufahamu Wangu Bwana wangu weeeh Unastahili eeeh Usikiye na kuomba kwangu kilio changu kikufikie nchi Imeshiba mazao ya kazi zako Bwana Unastahili eeeh
Unastahili Bwana eeeh Unastahili Yesu Unastahili kuabudiwa Unastahili Unastahili Bwana eeeh Unastahili Yesu Unastahili kuabudiwa Unastahili
Unaishi ndani yangu Bwana Unaishi ndani yangu Bwana Unaishi ndani yangu Bwana Unaishi ndani yangu Bwana
Unaishi ndani yangu Bwana Unaishi ndani yangu Bwana Unaishi ndani yangu Bwana