Usinipite mwokozi, unisikie unapozuru wengine usinipite
Usinipite mwokozi unisikie Bwana unapozuru wengine Bwana usinipite
Usinipite mwokozi unisikie Bwana unapozuru wengine Bwana usinipite
(Naomba) Yesu unisikie Unapozuru wengine usinipite (Nakuomba Yesu wangu) Yesu unisikie Unapozuru wengine usinipite
Mtetezi wa mbingu ni wewe Njia ya uzima ni wewe Bwana Hakuna mwingine kama wewe Jehova Shammah Ombi letu ni kwamba unapozuru wengine Unapotembelea wengine usinipite Bwana Usiniache mwokozi wangu Wewe ni njia ya uzima Bwana tunakupenda ooh
Baba yangu ooh ninakupenda sana
Nani mwingine kama wewe ninakupenda aah Usinipite Bwana, wewe ndiwe njia ya uzima Nani mwingine kama wewe ila wewe Baba Siwezi kamwe usinipite Bwana
Yesu unisikie unapozuru wengine usinipite (Baba nakupenda Baba) Yesu unisikie Unapozuru wengine usinipite
Hakuna jambo gumu kwako Baba Hakuna jambo linalokushinda mwokozi Wewe ni Mungu wa Baraka
wewe ni Mungu wa upendo Bwana Nani mwenye upendo kama wako mwokozi Nani mwenye nguvu kama zako Bwana"
Kiti chako cha rehema Bwana Nakitazamia miye Magoti napiga mbele zako Baba aah Usinipite Bwana
Yesu unisikie unapozuru wengine usinipite Yesu unisikie Unapozuru wengine usinipite