Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh
Ni zako usiyeshindwa
Wewe uliyenihesabia haki Kwa neema yako Ni zako usiyeshindwa Mnara wangu wa utukufu Na kinga yangu Ni wewe usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa
Haki yako bwana yanitangulia Utukufu wako wanifuata Ni wewe usiyeshindwa Ninayemtegemea ni wewe Ngao yangu ni wewe Ni wewe usiyeshindwa
Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa
Uliyenichagua ni wewe Uzima wangu ni wewe Ni wewe usiyeshindwa Anilindaye kwa mabaya ni wewe Ni wewe bwana Ni wewe bwana usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh
Ni zako usiyeshindwa
Ali mukhwana Aliye kama wewe ni nani? Mwenye heshima kama zako ni nani? Mwenye upendo kama wako ? Mwenye neema ? Mwenye kubariki kama wewe? Mwenye kuinua kama wewe? Maamlaka yote hapa duniani Na kule mbinguni Ni zako usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa