Tatizo lako aliekuumba Ni binadamu angekuumba mungu wewe
Usingenipotea tena sana ningeomba Niweze kukoa uwe wangu moja kwa moja Hela Nisha beba takataka Nipate kula nikikupata unatoroka Hela Mbona labda masikini Wakikupata wakisha kula Unatoroka hela
Hela hela ( Hela..) Hela hela, hela, hela hela... Hela hela, hela, hela hela... Hela unatutesa sana
Na wananchi wanalalamika Unapendelea wana siasa Hela Wanayonywa haki zao Na wenye nguvu
Aliyewapa jon kio hela Na machinga nao pia Wananyanyasika sababu yako wewe hela Kwa wagonjwa hospital Bila rushwa hawatibiwi vizuri Hela hela (hela..) Hela hela hela hela (hela..) Hela hela Hela hela Hela unatutesa sana