Nipeleke kwa mganga , na mimi nataka wanga maana mapenzi yamenikoroga kinoma, anachanje chale mwili mzima, nisimkumbuka ata jina, yule hasidi gaidi wa moyo wangu
haya mapenzi basi, nimeyavulia shati, kupendwa ni ajira, namimi sina vyeti kule kukusifia, mabaya kukufichia, mbele ya mama, oh baba, oh mama , oh lala
mapenzi si ubondia, najikaza uku nateketea, bora nijivue, nisijisumbue
eiii, sasa basi , inatosha, nimekopesha mwili wangu, bila kuogopa , kumbe jike shupa , ata kwenye karata, uku unaruka kila sehemu umeshapita, sasa basi..
ulijidai kunipima akili  kwamizani
kuniendesha kama toy, kukosa nuru kutwaa kuzama, ukanikinai na aibu kunitia hadharani, kuiniona sifahi masikini nimekosa nini.
(haya mapenzi basi, nimeyavulia shati, kupendwa ni ajira, namimi sina vyeti)X 2 kule kukusifia, mabaya kukufichia, mbele ya mama, oh baba, oh mama , oh lala
(mapenzi si ubondia, najikaza uku nateketea, bora nijivue, nisijisumbue) eiii, sasa basi , inatosha, nimekopesha mwili wangu, bila kuogopa , kumbe jike shupa , ata kwenye karata, uku unaruka kila sehemu umeshapita, sasa basi