Baba Keyaan, Toto la Mama Kiba Njaa mi nashiba, unaishi kwa kuniiga, And I’m Alright Ushamba mwiko kwa mtoto wa Kariakoosi Chezi na dada zangu, nacheza na dada ako Mixer mkong’oto We unauza siso, mi ndio bishooo Iga na ku-stop uone, huchuliziki hata tone Mi nafanya wimbo, we unafanya skendo, uonekaneee
Marekani Nishatimba, Ulaya yote nishatamba Tena Unatukana, unakuja unajigamba Unajiona mjanja unatamba sana Mediocre …..yeaaaah
Yeaaaaah yeeeiyeee, pluu mpaka chini -PIGO Unataka U-King na Mafundo Mimi ndio BABA… King-dom…. Kingdom Tena mnajishow, huyu Komandoo Stage mafundo, wachafu wa roho, waongeza zero Kwashungu NO, kwashungu NO, no no My people… No no, como stas Yo I have been in the game for 18 years I’m still around, still ON TOP Gyaldem Sugar
Marekani Nishatimba, Ulaya yote nishatamba Tena Unatukana, unakuja unajigamba Unajiona mjanja unatamba sana Mediocre …..yeaaaah