Accueil
đđ€ Paroles de chanson Française et Internationnales
Recherche : GO
Afficher les Favoris
â Cacher les Favoris
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Ajouter aux Favoris Titre : Msela
Pokea zangu salamu wangu mimi mwambie ameshakua nahitaji kukuoa Kwanza uwe na mume utambe na uringe nami niwe na mke ili unichunge MngÂŽaro wa nuru yako kama mbalamwezi na uzuri wa macho yako kama yana machozi Eeh eeh Lupe eeh umeumbwa mama Lupe uwe wangu inapendeza Lupe Lupe Lupe eeh Lupe we uwe wangu inapendeza uwii uwii uwii uwii uwii uwii uwii uwii uwii inapendeza Lupe Lupe aah Lupe we uwe wangu inapendeza Honeymoon wapi twende visiwani ama chini baharini au tupae angani Mi papa sio judge nawe mama sio judge leo tufiche la ardhi wal adhal baudhi Lupe Lupe Lupe (Lupela) umeumbwa mama Lupe wangu inapendeza Lupe Lupe Lupe wee Lupe Lupe uwe wangu inapendeza uwii uwii uwii uwii uwii uwii uwii uwii uwii inapendeza Lupe Lupe Lupe aah Lupe we uwe wangu inapendeza Waite ite marafiki zako baba, mama yako wajee Lupe Lupe eeh waje wacheze aah aah Lupe Lupela mamaa Lupe wewe natenaaa Lupe Lupela