Nafsi inalalama sina mwambiee Kila akinitazama kwa kina kiukweli Mwambiee silali tena ananipa tabuu Kwake me sina halii ninampenda yeye tuu Oohhhoo... Sinaa aah
Sinaa aah Sina mwambie Yeh ndo dawa ya (dawaaa) Sinaaa (dawaa) Sinaa aaaah Sina mwambie Ooohho
Mwambie sinaa Wa kutamba naye (sina mie) Mwanbie sinaa Wa kuringa naye (sina mie) Mwanbie sinaaaa Wa kutamba naye (sina mie) Mwambie sinaaa Wa kuringa naye (sina mie)
Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue) Kama nyumba me nimpatie iye yeh (me nitambue) Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue) Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)
Nenda umwambie mimi sina oooh Wakumpa siri zangu anitunzi moyo Tena umwambie mimi nipo hoi Me nampenda haiyo iyo iyooh Nimependa heshima Atulie nimueke ndani Kanichapa usindwa Kanifunga ndomo siachani Kuona napata shida Moyo wayoyoma Mammy yoyoo mammy yoyoo ... (Wa kutamba naye)
Mwambie sinaaa Wa kutamba naye (sina mie) Mwambie sinaaa Wa kuringa naye (sina mie) Mwambie sinaaa
Wa kutamba naye (sina mie) Mwambie sinaaa Wa kuringa naye (sina mie)
Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue) Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue) Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue) Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)
Ona me nakosa rahaa Amani sina Sinaa nachotaka Wewe ndo wa pekee Skendo nitende vipi Wabongo wamtangaze Wanasema unadanga
Kwangu ni danga chee
Yaani nikope pe chee chee Alo aloloo kama madebee Madebe madebe madebee Kama madebe madebe Madebe madebe
Mwambie sinaaa Wa kutamba naye (sina mie) Mwambie sinaaa Wa kuringa naye (sina mie) Mwambie sinaaa Wa kutamba naye (sina mie) Mwambie sinaaa
Wa kuringa naye (sina mie)
Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue) Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue) Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue) Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)
Mwambie sinaa Wa kutamba naye Mwambie sina Wa kuringa naye Mwambie sinaa Wa kutamba naye Mwambie sina Wa kuringa naye
Kama gari me nimpatie iye iee Kama njumba me nimpatie yee iee
Kama gari me nimpatie iye iee Kama njumba me nimpatie yee iee Kama gari me nimpatie iye iee Kama njumba me nimpatie yee iee Wa katamba nayeee