Mimi nachotaka ulimwengu mzima, Wajue nimezimika... eh Na kama kufanikiwa taratibu, Skia mambo yatajipa.eh... Na sina pathara na subira Mola atanipa.eh Na kama akini akishanipa pia, Ndio maana niko hapa
(So ndio mchezo gani huo, Wa kunionyesha za mchumba hivyo Wajua me unanirusha roho Na we ukawa hivyo Baby know)Ă2
(So ndo mchezo gani huo, Wa kunionyesha za mchumba hivyo
Wajua me unanirusha roho Na we ukawa hivyo baby know)Ă2
Nakshi mrembo, Unawatosa watosa na vigogo Nakuja kwangu kawapa visogo Ukawaona hawana mpango Na kusema baby ukiona nalia... ah, Baby kuniona nateseka Na moyo wangu tena kutesa, Nami na relax tu kwa sasa
Ohwaah...(AliK... 4real mum) oooooho...(Ushanipata mum) Nooooowah... Nina we kuliko kote dunia nzima Na kama unanipenda, Hakika mimi utanilinda Nina we kuliko kote dunia nzima, Na kama ninakupenda, hakika wewe nitakulinda
Basi kwangu nakshi nakshimrembo Nisicheze regge nicheze wimbo Leo ma action na mavitendo