Mi siogopi Kwani ye ndiye wa moyo pambio Na hakiombeki yamkini ooh Fagio oh-oh Fagio eh-eh Fagio oh-oh, eh eh eh
Ah you make a man wah wah wah Woman why you do me like like that You make me sing nah nah nah nah She got that beauty kampa mama
Mapenzi yanaweza kuchipua njangwani Mapenzi hayadanganyi usifanyie utani Shikwa na polisi utafungwa ukae ndani
Yakikushika mapenzi mambo hadharani
Nikubebe mgongoni nikuzungushe mtaani Au ufungue moyo ndani uone dhamani No game game-over nimesurrender Sina-sina sera sina agenda Sina pakwenda mtu ukipenda danger Unaweza kusaga chuma ulivyoenda
Ulivyojitapika oh mama ee Yaani we ndo my woman Itabidi wakushangae Am proud of you my woman
Mi siogopi Kwani ye ndiye wa moyo pambio Na hakiombeki yamkini ooh Fagio oh-oh
Fagio eh-eh Fagio oh-oh, eh eh eh
You too much sweety Unapotabasamu hunionyeshi hamu My lemon my sugar tam tam Am proud of you my woman
Mi siogopi eh Nawe ndo nyota ya kamchezo Hii gharama hakuna cha dezo dezo Waambie kwangu ushatulia bila kiungulia
Amachotaka nakata Pochi namnunulia Namwaga manoti nahudumia Hahitaji tochi namulikia
Kashavua upweke vua koti namkumbatia I need by my side need you in my life Sikumwagii sera za kuja kukulaghai Me I tell you no lie, walai mama am die
Unaniipandisha mizuka, zuka Naruka ruka matuta, tuta Sifa nyingi za kukupa, kupa Mwendo kama umejisusa, unajitupa
Funga kazi namba moja top top Kote mwanamke wa Uswazi anajua soap soap Chote anachovaa kinafaa dope dope Kwake dope akikaa ndo balaa oh oh
Ulivyojitapika oh mama ee Yaani we ndo my woman Itabidi wakushangae
Am proud of you my woman
Mi siogopi Kwani ye ndiye wa moyo pambio Na hakiombeki yamkini ooh Fagio oh-oh Fagio eh-eh Fagio oh-oh, eh eh eh
Comestas, niko na Darassa Yeap, yeah baba, ooh lala Vitu vitamu ndo vinagharamiwa