We all need love, We all need affection, And the way that youÂŽre looking at me,
I can feel a connection
Unanibamba baby, kwanza unavyochekecha
Kinywaji kwa mkono, na kibeti kwa bega
Juu sikuizi madem wanapenda doh Na machali pia tunazo drama, Ya dunia ni mengi sana, no commitment mama So nipe nafasi,
Nikupe mapenzi yangu ya kiluhya, hallelujah
We all need love, Nakupenda, Tena nina imani sana Ushanitega, ushanitega We all need someone, Nakupenda,
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega So make love to me, Unconditionally bae, unconditionally bae Make love to me Unconditionally bae, unconditionally bae
We all need love, Me I need a wife, wa kuishi na yeye
Fuata vijana utakufa mapema magonjwa yamejaa, Jina langu Ali, sasa lazima nilee Nikikosa kula, nawe ndo chakula, nitakonda mazima, And I belie-eeeve, nitakuwa nawewe, Mwanzo mpaka mwisho, And I belie-eeeve, baibe
We all need love, Nakupenda, Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega We all need someone, Nakupenda, Tena nina imani sana Ushanitega, ushanitega So make love to me, Unconditionally bae, unconditionally bae Make love to me Unconditionally bae, unconditionally bae