(Yogo on the beats...) You sweet like a pipi mama I can fight, I can kill someone for you Because I´m in a danger zone, oh no This feeling feeling that am feeling
Is too much
I see future Life with you is so brighter Nakupenda sana you know that I will die for you
Oooh sweetheart Life with you is so sweeter Nakupenda sana you know that Nakupenda sana you know that yeah
Na hakuna kipya kwenye dunia, oh my love We ndo maana tamaa nazizuia, oh my love Natupa maelfu kwa mamia, in this world Ila we pekee nimekuchagua I swear to God
Na umebarikiwa utu na utulivu Umebarikiwa utu na utulivu Licha ya upole na uzuri Una utu na utulivu Umebarikiwa utu na utulivu
Siku zote maumivu maumivu Yapo kutufunza Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza Huko nyuma hukumu hukumu, zilishanikumba Kwa mateso ya kung´ang´ania kupenda usipopendwa
Nilifosi kujificha kule, kumbe chaka langu ni hapa Sasa napewa amani mapenzi yasiyo na mipaka Ananikanda huko mabegani ananishika na hapa Massage mgongoni yananilevya makopa
Na hakuna kipya kwenye dunia, oh my love We ndo maana tamaa nazizuia, oh my love Natupa maelfu kwa mamia, in this world Ila we pekee nimekuchagua I swear to God
Na umebarikiwa utu na utulivu Umebarikiwa utu na utulivu Licha ya upole na uzuri Una utu na utulivu Umebarikiwa utu na utulivu
Aah namwona yeye, analia lia anapokuwa Aah namwona yeye, akiniacha ananiombea dua Aah namwona yeye, analia lia anapokuwa Aah namwona yeye, akiniacha ananiombea dua