Mmmh mmh wouwoo ooh oh Mi nataka niwaambie ndugu zangu, ndugu zangu Ipo siku moja mtanikumbuka aah Mi najua na mi najua mtanikumbuka Kwa mazuri si mabaya eeh
Mi najua na mi najua mtanikumbuka Kwa mazuri yeah Kwa sababu nimesacrifice maisha yangu Nimejitoa sadaka
Nimesacrifice maisha yangu Nimejitoa nimejitoa kwa nchi yangu Watu wangu, nchi yangu
Kwa mara hio tusimame kwa pamoja Tusibaguane kwa vyama Mara hio tusimame Tusibaguane kwa vyama
Tusibaguane kwa ajili ya dini zetu Tusibaguane hata kwa makabila yetu Tusibaguane kwa ajili ya dini zetu
Tusibaguane hata kwa makabila yetu Yetu tusibaguane oh ndugu zangu
Aiyayaiyaiya, nchi yangu Aiyayaiyaiya, familia yangu Aiyayaiyaiya, Tanzania Aiyayaiyaiya
Nimesacrifice maisha yangu Nimesacrifice maisha yangu Kwa ajili ya watanzania masikini
Ndugu zangu msibaguane Ndugu zangu tusibaguane Kwa makabila