Shoda mbayaa Ndio jina Nilopewa Mimi kwa wakubwa kwa wadogo Uuuh yeah mfukoni haya hela Sina mtoto wa masikini
Nashindia mihogo Ooooh mama Mbavu naziehesabu chembe Cha Moyo Kwenye kitovu Sina mabovu ipo siku nitapata pembe la ndovu siwachi kuvumilia
Kuwa na kidonda kwenye makovu Yaaani naogopa nikija kuzipata nitakua nani Watausema Nina utajiri wa kiufani Watayazusha aty walimuabudu shetani Nia yao iwe chini abadani Bado kidogo Mimi nifanikiwe Bado kidogo Mimi nifanikiwe Bado kidogo Mimi nifanikiwe
Navyo nataka niwe Bado kidogo Liwalo na liwe
Hapo maisha Kama jiwe Wapo wengi walionichukia Mungu kanipa Mimi kwanini hao hawakupewa
Nasishindwi kuwatolea makucha ya Simba Nimeyaficha nimeshindwa kuyadondolewa Kile umepewa na Mungu kwa mja Ni kosa Wala si Kosa Watazidisha machungu na Mawazo wasilokosa
Wachawi wavunja Wanazi Kwangu haijaisha Wote zusha aty niliabudu shetani Nia yao Ni aty niwe chini abadani Bado kidogo nifanikiwe Bado kidogo liwe liwalo nifanikiwe Shoda mbayaa Ndio jina
Nilopewa Mimi kwa wakubwa kwa wadogo Uuuh yeah mfukoni haya hela Sina mtoto wa masikini Nashindia mihogo Ooooh mama Mbavu naziehesabu chembe Cha Moyo Kwenye kitovu Sina mabovu ipo siku nitapata pembe la ndovu siwachi kuvumilia
Kuwa na kidonda kwenye makovu Yaaani naogopa nikija kuzipata nitakua nani Watausema Nina utajiri wa kiufani Watayazusha aty walimuabudu shetani Nia yao iwe chini abadani Bado kidogo Mimi nifanikiwe Bado kidogo Mimi nifanikiwe Bado kidogo Mimi nifanikiwe
Navyo nataka niwe Bado kidogo Liwalo na liwe Hapo maisha Kama jiwe Wapo wengi walionichukia Mungu kanipa Mimi kwanini hao hawakupewa
Nasishindwi kuwatolea makucha ya Simba Nimeyaficha nimeshindwa kuyadondolewa Kile umepewa na Mungu kwa mja Ni kosa Wala si Kosa Watazidisha machungu na Mawazo wasilokosa
Wachawi wavunja Wanazi Kwangu haijaisha Wote zusha aty niliabudu shetani Nia yao Ni aty niwe chini abadani Bado kidogo nifanikiwe