Vile ninavyompenda Kamoyo hakataki kusita ngÂŽo Linanitokaga denda
Nikitazama yake nyonga oh
Mechi zangu anapenda Njaa yangu polisi chenga no Rangi ya jogoo nywele singa Havuti vuti si wa kuchonga goks
Anavyokatika pale ndo anaponiumizaga ga Kwenye sofa anafanyaga miujiza ah ah Taa haziwaki, anakipendaga kiza ah ah Nami namgongea, nampaga na visa ah ah
Anaweweseka anakuwa bubu Ananimiliki mi na mmudu Amejiriwesha mlenda kwenye shundu
Ana ki-shape cha Mobetto Mdoli wa ki-Swazi mseto Najifungia naye ghetto Ndio maana nikiwa mbali napiga
Anavyokatika pale ndo anaponiumizaga ga Kwenye sofa anafanyaga miujiza ah ah Taa haziwaki, anakipendaga kiza ah ah Nami namgongea, nampaga na visa ah ah