ItÂŽs L music baby Shako media Ona Nakupenda hakuna ujabali Na Yaona Mateso Mimi Hata ule niliomuita wangu mwendani
Kesho wajiona mjini
Na Ile ahadi alionipa hakuitimiza Nani atakua dereva nipo kwenye Giza Kabla moyo singekufaa Basi angenijuza Kumbukumbu zake kichwani zinaniumiza Nipo radhi mie nionekanapo fala Kama nzi Ni fena kidonda chake mama
Toka mie wenzake mi anieleweshe maana Sielewii Baby eeeeeh Sielewii Sielewii Ni kizungumkuti mama Sielewii Sielewii Naomba nielewe Mahututi mama
Kali ka baridi nakufaa alfajiri Kama mapenzi hayatoshi si
Angeniambiaaa kuliko kuondoka na kuniacha naumia Kama nyama chakula kiambishi ameniacha naumbuka mwenziwe Nipo radhie nionekane fala juu yake
Kidonda chake mama Toka akimbia Nakosa kulala Mie anieleweshe maana Sielewii Sielewii Sielewii Sielewii Sielewii kizungumkuti mama Sielewii Sielewii Nipo mahututi mama Asiminaomba mnielewee