Accueil  đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Ally Mahaba
Titre : Toba
Macho ya chui mdomo wa samaki
Kiuno cha kangaroo (Kama namwona)
Kususa hajua anataka kubaki nami
Ni mkwangwaru (Kidogo natona)

Akilewa anapandisha mizuka
Ruka yavuka akipinda mgongo
Akiambacha ukucha  wa bucha
Mchicha mi nalitoa nyongo

Pale palichojificha
Ananipa waste chogiongo
Denti amepata ticha huyoo
Kainama chini ya behewa
Ananipaga kama Tewa Tewa

Hii inalewa nikimiss sana
Ndo napewa pewa
Kimoko nagewa
Chapu chapu no kuchelewa
Ni mahewa legelege kama kagewagewa

Ukoko toba eeh

Anajua hii nyonga yanikomesha, toba eeh
Pale katikati kaisogesha, toba eeh
Pole pole ananizoesha, toba eeh

Mchumani de de de
Ni kauwe ngoma

Oh she likes me
Anywhere she goes
She want me around
Si wa kudanga

Oh she likes me
Kanapendaga vile
Huwaga natwanga
Hakawezi landa

Huwaga sipendi penzi la mtandaoni

Ila hapa imebidi
Post picha call me baby
Maji maji ndani ndani Kendi, toto she loves

Wataokuona kiraka
Waambie pengo langu umeliziba babe
Ushamba ni maji nimwage
Uwongo wa chama debe thatÂŽs how I like it

Kutu nitolee, kutu nitolee
Aaah aah aaah
Kutu nikutolee, kutu nikutolee
Aaah aah aaah

Ukoko toba eeh
Anajua hii nyonga yanikomesha, toba eeh
Pale katikati kaisogesha, toba eeh
Pole pole ananizoesha, toba eeh

Mchumani de de de
Ni kauwe ngoma

Toba eeh, chumbani segu segu makeke
Toba eeh, I wanna be your daddy wacha mkeka baby
Toba eeh, I will never complain nipe daily
Toba eeh, endapo nitaharibika wajue ni wewe

Kwichi kwichi kwichi
Anytime me I hit it
Bendover chuna mboga
Kifo cha mende ki sawa

Kifua parachichi
Nyonga kama tikiti
Maji nayakoga, bila yoga
Kwenye kiboga

Nmekwisha kabsaaa

Toba eeh, Toba eeh