Baby nikukumbushe kitu ila usikasirike Siku ulio mhonga mdogo wangu pipi ili uniteke Vile alivyoniambia nilicheka nusra nidondoke Kwanini hukujiamini mwenyewe eh eh
Naona baby unayaleta mwenyewe Wala sikatai kweli niligigonga na wewe Vile vitu vya watoto ni lazima apewe Hayo mengine sijamwambia bwana kakuongopea
Mbona siku iliyofuata Ulituma ujumbe mfupi Kuwaje salamu nimezipata
Hata hilo nalo mi nakataa Hukumbuki nawe ulinikonyeza Pale kwa muuza makaa
Hebu basi yaishe Aah twendelee mama (Hebu nipishe) Ngoja nikueleze leo, nitatoka na wewe Tukajikumbushe enzi zetu
For sure I love you Too baby to the sun Kale kamchezo kalinifanya Nikupende pende
My love you Na wakinishangaa Mimi huba nicheteze wewe Nicho mi nikugande gande
Baby leo ni usiku wa wapendanao Nataka nikuonyeshe Kwangu mahaba ndio kwao
Okey baby twende later house Ama kwenye ufukwe Usinipeleke chimbo la kishamba Na mwera ukashikwe bure
Ooh no itulize nafsi (Kwanini?) Leo juu yangu usiwe na wasiwasi (Utanipa nini?) Nitakunywesha juice ya mananasi Kama kwenye mood tupande na farasi
Mimi sinaga wasiwasi Nimetulia kama swara kwenye nyasi Tuharakisha mida inaenda kasi Mbona unacheka ina maana ndio basi
Hebu basi yaishe Aah twendelee mama (Hebu nipishe) Ngoja nikueleze leo, nitatoka na wewe Tukajikumbushe enzi zetu
For sure I love you Too baby to the sun
Kale kamchezo kalinifanya Nikupende pende