Baby nifungilie Shindilia zenye topazi Ndio maana Sitaki nibanduke kwako Tena nitulie Tuya tuya halali kichunga Nidunde Dundee na Moyo wako
Uko kuvumilia Ni mtihani Tosha Kufa Kupona Upo Nami Na ungenikubali hata ningekutosha na Moyo Wa Simba Wa Kusema Waseme Kenya Power Wakazime umeme Kwangu wewe ndio dawa unaefanya niheme Ila Kuchepuka Chepuka wewe umefanya nikome Taabu na ukasela kasela Niache ukapera kapera Kwa Mandela Mandela tusherekee Watambue mashemela shemela Na kidemela demela na wale wakukera Na wale wa kukera kera wasituzoee
Ni wewe tu Usiwe na wasiwasi
Ni wewe tu Wewe ndio mwenye nafasi Ni wewe tu Nikufanye Moyo unapiga Kasi Ni wewe tu Usije ukatonesha Kidonda Ah ah ah ah
Nakondeshwa na asenali Unanilambisha Asali Nakula we mdomo kwa mdomo Unanilisha Sijali wanayoyasema majirani Usiku watalala tu Chali washashindwa Visirani Wote wanakulaumu Ata wawe Kenya Power Wakazime umeme
Kwangu wewe ndio dawa unaefanya niheme Ila Kuchepuka Chepuka wewe umefanya nikome Taabu na ukasela kasela Niache ukapera kapera Kwa Mandela Mandela tusherekee Watambue mashemela shemela Na kidemela demela na wale wakukera Na wale wa kukera kera wasituzoee
Ni wewe tu Usiwe na wasiwasi Ni wewe tu Wewe ndio mwenye nafasi Ni wewe tu Unafanya Moyo unapiga Kasi Usije ukatonesha Kidonda