Aliniona bwana akaniwaza kuwa mwaminifu Akatunza neno lake ndani ya mwoyo wangu Kaufunguwa upendo wake wa thamani Na kunipenda mimi Maana aliniwaza kuwa mtu apendekae
Ole wangu bwana wangu uuh Nimara ngapi nime kuvunja moyo Nimara ngapi nimekuabisha Nina majonzi mengi moyoni baba maana Sikuenenda sawa na mapenzi yako nani ataniponya haah isipo kuwa wewe nirehemu baba yangu
Mbele ya wali mwengu Nina mfano wakuaminika Lakini nilicho kweli Ninajua mwenyewe Ole wangu kama nitapimwa Nakukutwa napungua Bwana niwezeshe kauli yangu Iwe ndiyo matendo (Bwana aaah kauli yangu uuh matendo)
Ole wangu bwana wangu uuh Nimara ngapi nime kuvunja moyo Nimara ngapi nimekuabisha Nina majonzi mengi moyoni baba Maana Sikuenenda sawa na mapenzi yako nani ataniponya haah isipo kuwa wewe Nirehemu baba yangu
Mbele ya wali mwengu Tuna mfano wakuaminika Lakini tulicho kweli Tunajua wenyewe Ole wetu kama tutapimwa Nakukutwa tunapungua Wakati ni sasa kurekebisha mienendo yetu (Ahahahah miendendo yetu)
Ole wangu bwana wangu uuh Nimara ngapi nime kuvunja moyo Nimara ngapi nimekuabisha Nina majonzi mengi moyoni baba Maana Sikuenenda sawa na mapenzi yako Nani ataniponya haah isipo kuwa wewe Nirehemu baba yangu
Ole wangu bwana wangu uuh Nimara ngapi nime kuvunja moyo Nimara ngapi nimekuabisha Nina majonzi mengi moyoni baba Maana Sikuenenda sawa na mapenzi yako nani ataniponya haah isipo kuwa wewe Nirehemu baba yangu