Tunao ushuhuda wakutosha Kwamba mungu mwenyene Kwa mkono wake Ametuleta umbali huu Akitubembeleza
Taratibu bila haraka ooh Mungu wetu hutenda taratibu Lakini kwa uhakika Kwa uhakika
Hakika tumetoka mbali Mbali sana hata twashanga Tulivyo fika hapa Asinge kuwa yeye mungu wetu Tungeweza nini(Tungeweza) nini Basi hatuna budi kusimama Mbele yamataifa tukishuhudia Ooohh kwamba mungu aweza yote
Hakika tumetoka mbali Mbali sana hata twashangaa Tulivyo fika hapa Asinge kuwa yeye mungu wetu Tungeweza nini (Tungeweza) nini
Basi hatuna budi kusimama Mbele yamataifa tukishuhudia Ooohh kwamba mungu aweza yote
Kila mmoja wetu yeye kivyake Kama angepewa nafasi Kusimulia Na kueleza ilivyo mbali Mungu amemutoa Utubaki mdomo wazi Ooohh acha wewe Watu wametoka mbali Tena mbali sana, mbali sana
Hakika tumetoka mbali Mbali sana hata twashangaa Tulivyo fika hapa Asinge kuwa yeye mungu wetu Tungeweza nini (Tungeweza) nini
Basi hatuna budi kusimama Mbele yamataifa tukishuhudia Ooohh kwamba mungu aweza yote
Hakika tumetoka mbali Mbali sana hata twashangaa Tulivyo fika hapa Asinge kuwa yeye mungu wetu Tungeweza nini (Tungeweza) nini Basi hatuna budi kusimama Mbele yamataifa tukishuhudia Ooohh kwamba mungu aweza yote
Jambo moja najua na la uhakika Mungu hakutuleta Umbali huu wote Akiwa nayo nia mbaya Yakutuaibisha hapana Mungu wetu yumwaminifu
Makusudi yake ni mema kwetu Basi tujitahidi nasi tusimwaibishe
Hakika tumetoka mbali Mbali sana hata twashangaa Tulivyo fika hapa Asinge kuwa yeye mungu wetu Tungeweza nini (Tungeweza) nini Basi hatuna budi kusimama Mbele yamataifa tukishuhudia Ooohh kwamba mungu aweza yote
Hakika tumetoka mbali Mbali sana hata twashangaa Tulivyo fika hapa Asinge kuwa yeye mungu wetu Tungeweza nini (Tungeweza) nini Basi hatuna budi kusimama
Mbele yamataifa tukishuhudia Ooohh kwamba mungu aweza yote