[AMBER LULU] Uwe babu ata baba eeh Ntakuwa naye, issue pesa eeeh,nalipwa
Na utamu wa chungwa papai Mixer divai sio samaki papa eeh No jipya
Mechi moja na mimi Baraka zisikinde msondo (sondo) Kwangu hautoki ata upake vumbi la mkongo Sichaguagi mimi, mwenye paki au mwenye dongo (dongo) Kwangu pesa ndo ina matter
No control(control) Kumaliza ni one for sure (for sure) No control (control) Wawezaje kuni control Baba no kung´ang´ania No kung´ang´ania No kung´ang´ania
No kung´ang´ania
[MABANTU] Kane Nyumbani sio Tanga Kibichi Na kwako nishafunga kiki Nishachokanga na mabibi Unipe watoto ikibidi
Kwako si hewani ni telephone I wish uwe mama watoto Lulu Amber, kule candy boy Wanyamaze madoo unyama boy
Mama kwako nitakuwa dakitari Si unapenda bia Kwa kupanda nitaleta na kidari Nawasha walo kuzima kibatari