Yeah, siku hizi ata tukikazana Hatuna muda Wenzako wanapambana tu kuzisaka mulla Wewe sio Mungu, wewe sio jaji Unachoona basi vunga
Siku hizi tushaachana na hizo style za kuzuga Hatutafuti twins, kitambo nimeshakiki Ati Touch anasanda, real nigga sizimiki Nilisha kuwa nyuma na ninajua kipindi kipi
Wanaojua what am doing, kitambo wameshaweka tiki Elimu ya mtaa ishanifunza kitambo Nimeshaitwa chawa kasro kuwa chambo Reak nicca, wanasema Touch endeleza mambo
Usishangae watu wabaya Wanataka kuniweka kando IÂŽm ready!
Ushapatikana Chumbani una vaa minguo rubani Ni mikoko, baikoko mpaka sebuleni Hatukamatiki visirani