[MARIOO] Ilikua ni ndoto bado Kwengine sina Kuniona (na na na) Na nitakukadidhi moyo (yo yo yo) Basi tulishaanza fanana (fa na na) Umeniacha dolo (do lo lo)
Kule kutapa tapa kama mfaa maji Baridi inakuja inanichoma We huna huruma ndo kwanza uko singida dodoma Mateso hujuma kweli napenda ila nakoma Ukanipa na janga la moyo Hata nikitabasamu machozi