Accueil
đđ€ Paroles de chanson Française et Internationnales
Recherche : GO
Afficher les Favoris
â Cacher les Favoris
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Ajouter aux Favoris Titre : Rafiki Badilika
Chuki ni mbaya Huleta Fitina Penye riziki Hapakosi wivu Kama makini Wew DonÂŽt trust Nobody DonÂŽt believe them Wa Yuda ni wengi Ukitoka Tu Wana Talk Masikio skia Mdumo wangu Kaa kimya Macho yangu Ona mbali eeeeh eeeee Oooh Rafiki Badilika (2fois) Badilisha mwenendo Badilika (2fois) Waulimwengu Wana maneno mengi Ku ishi nao Kweli taabu Be careful ooh ndugu Rafiki Mnafiki Si rafiki Ukikosa tu anakukwepa Ukipata njo Utamuona Be careful ooh ndugu Badiliiiiiiiiiiika Oooh Rafiki Badilika (2fois) Badilisha mwenendo Badilika