Ngome imara, mwenye haki Hukukimbilia na kuipata salama Ndiwe Mungu, mwenye nguvu ya kutoa Na nguvu ya kutwaa Wewe pekee ndiwe Mungu
Hekima yako inazidi hekima ya dunia Na ujuzi wa wanadamu Hofu iliinuka ikakutana na wewe Ikafungwa kinywa tumeinuka Taabu za dunia zinapokutana na wewe Tunashinda yote tunainuka
Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa
Macho yangu yameona Mkono wa Bwana unaotenda mema Dunia yanyamaza, hekima zimekoma Utaalamu umenyamaza, ujuzi umeshindwa
Damu inanena mema Na Mungu uliyeyatenda hayo
Ndiwe utatenda yale Tuko salama nawe
Jamaa taabu za dunia Zikikutana na mfalme Zinafichwa nguvu tunainuka Hio hofu ya maisha Ikikutana na Bwana Inafungwa kinywa tunainuka
Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa
Hao wanataja magari Wale wanazisifu mali Sisi twakutaja wewe Mungu usiyeshindwa

Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa