Hey, this is a song from Kenya In the language of Swahili from Africa Hello mister, hello sister No problem, no worries
Oh, yeah!
Jambo, jambo bwana Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata
Jambo, jambo bwana Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata
Tujenge pamoja, hakuna matata Amani kwa dunia, hakuna matata Uhuru na undugu, hakuna matata
Afya na shupavu, hakuna matata Harambe sawa sawa, hakuna matata
Jambo, jambo dada Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata
Jambo, jambo dada Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata
Vile nakupenda, hakuna matata Kila siku ubarikiwe, hakuna matata
Sasa watu wetu wote, hakuna matata Furaha na baraha, hakuna matata Hakuna matata, hakuna matata Jambo, jambo bwana Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata Jambo, jambo dada Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata
Tujenge pamoja, hakuna matata Amani kwa dunia, hakuna matata Uhuru na undugu, hakuna matata Afya na shupavu, hakuna matata
Harambe sawa sawa, hakuna matata Vile nakupenda, hakuna matata Kila siku ubarikiwe, hakuna matata Sasa watu wetu wote, hakuna matata Furaha na baraha, hakuna matata Hakuna matata, hakuna matata
Tujenge pamoja, hakuna matata Amani kwa dunia, hakuna matata Uhuru na undugu, hakuna matata Afya na shupavu, hakuna matata Harambe sawa sawa, hakuna matata Vile nakupenda, hakuna matata Kila siku ubarikiwe, hakuna matata Sasa watu wetu wote, hakuna matata Furaha na baraha, hakuna matata Hakuna matata, hakuna matata