Eiii yeah yeah Yeah yeah yeah Combination wagwan(yeah) Them call me Arrowbwoy Nimepiga mishemi shemi
Nina zangu maisha haina chorus Nimechoka kula ndege nataka changu
Ni kwamba vile inafaa Testi tumeitupa Kando Leo Nina nje Sina Kwangu Hii life itÂŽs Yolo yolo Ujana Ni Moshi
Arrowbwoy najipa raha Vunjaa mifupa kaa bado meno iko Onanana Kama mchuzi Ni wa Moto Silambi mwiko onanana
Maisha bila bonununus Onanana Kaa super man get a super girl Songea kwenye dance floor
Katika Kama kesho haiwezi fika maa Twende mos mos Mdogo mdogo mbembeleze Skize corner
Vunja mifupa Kama meno bado ipo Onanana Kama mchuzi Ni wa Moto silambi mwiko onanana
Maisha bila bonununus Onanana kaaa super man get a super girl songea kwenye dance floor katika Kama kesho haiwezi fika maa Tuende mosmos Mdogo mdogo mbembeleze Skize Corner