Accueil  đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Arrow Bwoy
Titre : Hatua
Early in the morning
Me bounce up when the sun rises
Nimepiga hatua, namshukuru Mungu asante
Ah, if I donÂŽt win it today
I lift up my hand for tomorrow roro

Believe and achieve
Leo niko chini kesho kwa godoro
Cz I know a journey of a thousand
Starts with a step
And I know it doesnÂŽt matter
How big or smaller are the steps

Niko safari bado sijafika(Bado)
Fitina roho chafu weka kando(Bado)
Wengi wanaimba ngoma zangu(Bado)
Lakini bado sijafika(Bado)

Niko safari bado sijafika(Bado)
Fitina roho chafu weka kando(Bado)
Wengi wanaimba ngoma zangu(Bado)
Lakini bado sijafika yeah yeah

Everything will be fine
Napiga moyo konde nakaza ngumu
Sijiulizi mbona why why why
Ju mitihani anapanga Mungu

Dem call me Arrowbwoy
Nikirusha zigo wananigwaya
Niite love doctor
Wanaitika nikikohoa, yeah yeah

Rada nasafisha
Juu kuna wengi wanachoma picha
Ukiniomba picha
Sina maringo njoo tupige picha

Niko safari bado sijafika(Bado)
Fitina roho chafu weka kando(Bado)
Wengi wanaimba ngoma zangu(Bado)

Lakini bado sijafika(Bado)

Niko safari bado sijafika(Bado)
Fitina roho chafu weka kando(Bado)
Wengi wanaimba ngoma zangu(Bado)
Lakini bado sijafika yeah yeah

Badooo wouwowowo, bado
Mmmh bado aha, bado aha

Arrow amejenga nyumba noma
Bado, sijafika, bado
Yeah yeah yeah
Bado(aha), bado, bado

Anaroll na ndae gani?
Bado, sijafika, bado
No no no no

Bado(aha), bado, bado

Niko safari bado sijafika(Bado)
Fitina roho chafu weka kando(Bado)
Wengi wanaimba ngoma zangu(Bado)
Lakini bado sijafika(Bado)

Niko safari bado sijafika(Bado)
Fitina roho chafu weka kando(Bado)
Wengi wanaimba ngoma zangu(Bado)
Lakini bado sijafika yeah yeah