Ni muda mrefu sijakuona Natamani ndani ya roho yangu Mpenzi naumwa Wasi wasi wanipanda Maswali akilini najiuliza ka uko fine
Ijapo niko mbali saana Nina Imani penzi Utanitunzia ah Niko harakati za kusaka Usijekandaganywa kesho ukanikimbia
I know you missing Missing natambua You will get it every day Good loving, loving I will hold you in my arms girl I´ ll do it every time Ukiwa umenimiss Picha yangu chum Ukiwa umenkihata Roho kaza ngumu I´m on the mission I´ll be coming soon
I will be there
Ukiwa umenihata Roho kaza ngumu Usije ukasalite penzi letu boo You missing my shoulder to lean on I will be there I´ll be there, I´ll be there there there I will be there I´ll be there, I´ll be there there there I will be there I´ll be there, I´ll be there there there I will be there
Sisi sote tumeumbwa chini ya jua Anaye panga maanani Ya kesho kuwezi jua Siwezi badili jua igeuke nvua
Tia imani tena uniombee dua Huku miniliko sina ata holiday I got my eye set on the enemy Mwambie papa mwambie mama Nisipo fika nikiwa hai naomba wasilie Rampapapam rampapapam Twenty one gun shots grant a holiday Rampapapam rampapapam Baby nasema I will be there
Umenimiss picha yangu chum Umenihata roho kaza ngumu I´m on the mission I´ll be coming soon I will be there Ukiwa umenihata Roho kaza ngumu Usije ukasaliti penzi betu boo
You missing my shouder to lean on I will be there I´ll be there, I´ll be there there there I will be there I´ll be there, I´ll be there there there I will be there I´ll be there, I´ll be there there there I will be there
Nakupenda mai sidanganyi Ntaleta mutunda nikifika hani Nikuimbie ka wimbo darling Lalala lalala Nakupenda mami sidaganyi Ntalenta matunda nikifika beiby Nikuimbie ka wimbo darling Lalala lalalala