Unapendeza kisura una tabia mzuri umeumbika baby Nikiwa nawe nimefika nimefika Walai sitamani Kuwa fisi kama mswati my heart will always be with you
Baby only you Coz everytime i come home I feel I´m in paradise You my queen in my kingdom the way you treat me nice Baby everytime I come home I feel I´m in paradise Nikupende na kesho Koona
You my queen in my kingdom ntakupenda adi mwisho wa calendar You no care bout money all you need is love kweli mtoto umeumbika Na roho ya simba na nikiwa na we siwezi nuna Acha nikupende leo Koona Nikupende na kesho Koona Mapenzi yetu ya vitendo Ntakupenda adi mwisho wa calendar Koona Na nikupende leo Koona Nikupende na kesho Koona
Mapenzi yetu ya vitendo Ntakupenda adi mwisho wa calendar Koona Ushikapo shikamana Kurandaranda haina maana Kwa kila mafanikio yote ya mwanaume nyuma kuna mke bora Ninavuna nilichopanda Legea legea utavuna Ni mara ngapi nimekosea na hukuvunja ndoa So let me take you out tonight sema unachotaka baby Mapenzi yetu iwe tight And like the sun you shine so bright Unanipa tabasamu daily
You no care bout money all you need is love kweli mtoto umeumbika Na roho ya simba na nikiwa na we siwezi nuna
You no care bout money all you need is love kweli mtoto umeumbika Na roho ya simba na nikiwa na we siwezi nuna Acha nikupende leo Koona Nikupende na kesho koona Mapenzi yetu ya vitendo Ntakupenda adi mwisho wa calendar Koona Na nikupende leo Koona Nikupende na kesho Koona Mapenzi yetu ya vitendo Ntakupenda adi mwisho wa calendar Koona Acha nikupende leo Koona Nikupende na kesho Koona Mapenzi yetu ya vitendo Ntakupenda adi mwisho wa calendar Koona Na nikupende leo Koona Nikupende na kesho Koona Mapenzi yetu ya vitendo