Accueil  đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Arrow Bwoy
Titre : Niache Niende
(Vicky Pon dis)

Si nilikuambia
Ulinihukumu vibaya
Ukaamini walichosema wao

Ukanitoa kafara

Ni kama ulisubiri nifeli Maria
Ukaona sitegeki ukanisingizia
Ni kama ulisubiri nifeli Maria
Ukaona sitegeki, ukaona sitegeki

Nasema niele!
Dunia niliiona chungu
Sikujui wapi pa kupapasa
Ukasema kitabu
Kimefika mwisho wa ukurasa

Nikuache, nikuache uende
Nikaona nikuache (Nikuache)
Nikuache uende

Wewe basi niache (Niache)

Ai! Mbona unanifuata (Niache)
Ghafla umenimiss (Niache)
Ulichokifuata hukupata
Mungu kanipa mimi

Yelele mama, yelele mama ni yangu
Yelele mama, yelele mama...

(Oh bizze)

Huna moyo wa kupenda
Ibilisi shetani manyaku nyaku
Taa imezima
Zimefika ukingoni mbio za sakafu

Oooh nakuchukia
Ulivyoniacha panda njia
Sasa unakumbuka zangu fadhila

Unarudi unalia

Oooh tena najutia
Mbona mwanzo mi nikakuzimia
Nakumbuka mama akiniambia
Unapuliza gunia

Hizi mida ni za popopo
Nyumbani nina totototo
Tena ni wa motototo
Anasubiri kunipa jotototo

Si mafungu saba
Saba sio yangu sitongÂŽangÂŽania
Mimi nani nibishe
Nimbishe Mola

Nasema niele!

Dunia niliiona chungu
Sikujui wapi pa kupapasa
Ukasema kitabu
Kimefika mwisho wa ukurasa

Nikuache, nikuache uende
Nikaona nikuache (Nikuache)
Nikuache uende

Wewe basi niache (Niache)
Ai! Mbona unanifuata (Niache)
Ghafla umenimiss (Niache)
Ulichokifuata hukupata
Mungu kanipa mimi

Nikuache, nikuache uende
Nikaona nikuache (Nikuache)
Nikuache uende

Wewe basi niache (Niache)
Ai! Mbona unanifuata (Niache)
Ghafla umenimiss (Niache)
Ulichokifuata hukupata
Mungu kanipa mimi

Tell me why your love
Gonna be this bad
Tell me why your love
Gonna hurt bad

Tell me why your love
Gonna be this bad
This bad, oh this bad

Tell me why your love
Gonna be this bad

Tell me why your love
Gonna hurt bad

Tell me why your love
Tell me why your love

Oooh yeah!