Unaringa, kwani una nini?(Kwangu wrong number) Mnazi coconut haujui(Wrong number) Wewe ni paka unajiita chui(Wrong number) Yeah yeah
Unaringa, kwani una nini?(Kwangu wrong number) Mnazi coconut haujui(Wrong number) Wewe ni paka unajiita chui(Wrong number) Ayayaya
Nimekungoja miaka kumi Bado unanikausha kama kuni Ah unanitisha hadi naogopa Unaninyonya kama kunguni, yeah yeah yeah
Unajidai superstar bado kwangu roho boa Uso umekomaa niondoleshe uboa Unataka vya bei, ile huna Nguo zenyewe za kukopa Kwangu bado unanuka umba Nisubiri niekwe kinyumba
Jooh, we ni kike wa aina gani?
Umeumbwa na material gani? Kulambwa lambwa na majirani Hiii hiii
Unaringa, kwani una nini?(Kwangu wrong number) Mnazi coconut haujui(Wrong number) Wewe ni paka unajiita chui(Wrong number) Yeah yeah
Unaringa, kwani una nini?(Kwangu wrong number) Mnazi coconut haujui(Wrong number) Wewe ni paka unajiita chui(Wrong number) Ayayaya
Acha kubonga mob, mi ndio pro Kama una umwa basi kunywa panadol Panadol, hee panadol Ikizidi sana pia kunywa Cetamol eeh
Hapa kumewaka fire Man ah better retire For a very time me no nyam You better leave, I will find another
Eeh we ni ndume wa aina gani? Umeumbwa na damu gani? Huna hela una maana gani? Iyee iii
Unaringa, kwani una nini?(Kwangu wrong number) Mnazi coconut haujui(Wrong number) Wewe ni paka unajiita chui(Wrong number) Yeah yeah
Unaringa, kwani una nini?(Kwangu wrong number) Mnazi coconut haujui(Wrong number)
Wewe ni paka unajiita chui(Wrong number) Haha ayayaya
Huna subira aah...
I say wrong wrong wrong wrong Wrong number, wrong wrong wrong wrong(Hu haa!) I say wrong wrong wrong wrong Wrong number, wrong wrong wrong wrong(Hu haa!)