Eh Mungu baba simamisha dunia nishuke Kama na kufuru nimechoka mapenzi niache Baba naganga mama naganga nahagaika kuzichanga Sina kiwanja sina kitanda uongo huu Mimi ni simba yeye ni yanga Yanini vibweka na vimbwanga Eeh mungu baba ninakuomba nisaidi eh Ahh mi mpaka nashanga Au kachoka daga Maana vibwekabweka vimezidi Oh jipu tumbuka usaa Shibe shake ukaja Kila siku visa visa vinazidi ii
Maji njoo maji njoo Njoo ninawe mikono Penzi laa sikitiko Bora lifike ki-komo, aaah
Ana nikomoa (ananikomoa) Hadai risitii yee (ananikomoa) Ohh baby ana ni komoa (ananikomoa) Ooh Nimechoka sitaki yeye (ananikomoa)
Ananidharau Ananiacha hoi (hoi) Anajisahau ananiona toi (toi) Mwenzenu mateso daily ninapata shida Kupenda napenda ila napoteza muda (Muda muda aah eeeh, aah eh ) Aah mpaka nashanga au kachoka daga Mana vibweka bweka vimezidii Ohh jipu tumbuka usaa Shibe shake ukaja Kila siku visa visa vinazidii
Maji njoo maji njoo
Njoo ninawe mikono Penzi laa sikitiko Bora lifije ki-komo aaah Ana ni komoa (ananikomoa) Hadai risitii yee (ananikomoa) Ohh baby ana ni komoa (ananikomoa) Ooh Nimechoka sitaki yeye (ananikomoa)