Yaani raha hata tukilala na njaa Kila saa nakuona mpya mami Tena raha huku ninavimba kitaa UnangÂŽaa hata kwenye giza mami
Basi tulia eeh, kama maji kwenye mtungi baby Nitakulea eeh, ilimradi unipe heshima Kama mbolea eeh, nitatia ili unawiri sana Nimekuzoea eeh, ukiniacha itaniuma sana
Ooh I wish angekuona (Maa mama) Angefurahi mama (Maa mama) Eh mama yangu mama (Maa mama) Angefurahi mama (Maa mama)
Ninavyomjua mama, angekupa vitenge Tena bila hiyana na kikapu cha embe Ana viwanja mama, angekupa ujenge Na ukirudi kwangu, mpasue mhogo wa jangÂŽombe
Umeondoka mama imekuja zawadi Nabaki nalia nalia sina budi Usije nitupa mwana naogopa dhambi
Ila nakuombea ulale pema kwa God
Basi tulia eh, kama maji kwenye mtungi baby Nitakulea eh, ilimradi unipe heshima Kama mbolea eh, nitatia ili unawiri sana Nimekuzoea eh, ukiniacha itaniuma sana
Ooh I wish angekuona (Maa mama) Angefurahi mama (Maa mama) Eh mama yangu mama (Maa mama) Angefurahi mama (Maa mama)
Mama mama mama (Maa mama) I wish angekuwepo mama (Maa mama) Lolo lo lo lo lo (Maa mama) Uko wapi mama? mama mama mama Nakukumbuka mi mwanao eeh Ma mama, ma mama