unazima simu yako ukiwa na mimi nimesha kua mume wako hasira za nin tena upungze vituko tukiwa chumbani mendokama baba yako nilo kuweka ndan hee
habar zako nazi pata mim nabaki2 me naumia una nitukana uki lewami sina k2 naki bamia nataman nije kuk mwaga ila siwez nita umia punguza vituko bas we dada nipate rahaya duniaaa yaya beby baasi tuliza yangu naaafsi tuache utoto bas twende na wakatii beby baasi tuliza yangu naaafsi tuache utoto basi twende na wakatii... kikubwa heshimaaa najua siwez kua pekeangu tunza langu jina mamaa na uwa ogope ma rafik zangu
nakupenda sanaaah hutaki kubadilika we mwenzangu unani nyanyasa sanaa kisa na linda hili penz langu beby ogopa maradhii tusije tuka ziikwa mapema utani sameh kama me nakosea kusema habar zako naz patami nabaki2 me naumia unan tkan uki lewami sina kitu na kibamia nataman nije kuku mwaga ila siwez nita umia punguza vi2ko bac we dada nipate raha ya duniaa yaya beb baas tuliza yangu naafsi uache utoto baas twende na wakati
beb baasi tuliza yangu naafsi uache utoto bac twende na wakaati (mama wana no wanano nono mapenz yame kabakoo kabakoo kaj kun toa roho toa roh kamoy kako mbio mbio mbio beby baaas unan umiiza mwenzaakoooh ooh beb baasii...