Ok sina pesa kama Bilgate Nina pesa tu za kukufanya usinicheat Nitakupa utamu yaani mapenzi ya dhati Follow me
Eeh we mtamu kama cake Uzuri wako EX wangu haufikii Nakuomba baby Please follow me Hmm
Nimefunga break nimeweka nukta Kwenye barabara umeweka tuta Yaani we ndo beki bonge la ukuta baby... Unakula alichokisusa Ex Unakula nyama mpaka mifupa Ex
Unataka nini mimi nitakupa baby
Nitavunja Nazi ubani Nachotaka uwe nami Baby follow me Nimefumba macho sioni Umeniweka moyoni Baby follow me
Follow Follow Follow me Mwenzako hoi taabani Sitaki kukuacha please follow me Ayee ayee Kolo kolo kolo me Nakupenda wala sikutamani Usije kunikataa please Follow me
Hivi watajuaje kama unananipenda
Usiponifuta kila ninapokwenda Bila macho kuona ningekupiga denda Follow me
Siku tukiachana ni mungu amependa Ila si kwa maneno yawanakwenda Watatuona mbele tunakwenda Follow me
Sa baby ntaanzaje kukuacha Wakati mi na wemapacha Wanakuja wanatuacha Follow me
Honey Honey Sina gari na nyumba Ila kinatutosha kichumba Nikifumba macho we fumba
Follow me
Oooh Mwenzako navunja nazi ubani Ninachotaka uwe nami Please follow me Ukweli wangu moyoni Wengine sioni Please follow me Follow me baby
Follow Follow Follow me Mwenzako hoi taabani Sitaki kukuacha please Follow me Follow me Kolo kolo kolo me Nakupenda wala sikutamani Usije kunikataa please
Follow me Eeh
Ukweli wangu moyoni wengine sioni Please follow me Follow me baby